Friday, 8 April 2016

MBWANA SAMATA AENDELEA KUONYESHA MAAJABU YAKE UBELGIJI



Mchezaji wa TP mazembe zamani mbwana ally samata ambaye hivi sasa anachezea timu ya KRC GENK ya nchini ubelgiji anaendelea kuifanyia vyema timu yake ya hii ya sasa nchini humo. Jana katika mchezo wa timu hiyo na timu ya Oostende  mbwana aliifungia timu yake goli mnamo dakika ya 77 kama ilivyo namba ya jezi yake namba 77 sio ajabu tu ila ni hatari kubwa sana
Kila lenye heri mbwana samata

No comments: