Wednesday, 22 June 2016

IBRAHIMOVIC SASA BASI SOKA LAKIMATAIFA MWISHONI MWA MASHINDANO YA EURO 2016

Staa wa soka ulimwenguni Zlatan Ibrahimovic ambaye pia hivi karibuni iliripotiwa 
kuwa ataungana na timu ya Manchester united ameeleza kuwa atastaafu soka la kimataifa mwishoni mwa mashindano ya Euro 2016.
Zlatan ambaye pia ni captain wa timu hiyo ya Sweden anatarajia kuachana na club yake ya zamani Paris saint German (PSG) kwenda kujiunga na Man United.

Miongoni mwa ufundi wa zlatani ni huu ONA VIDEO


No comments: