Mgombea uraisi kupitia tiketi ya chama cha Republican DONALD TRUMP amesifia kitendo cha uingereza kujiondoa katika umoja wa ulaya.Alisema kuwa "wameikomboa nchi yao".
Aliyasema hayo alipo wasili Trump Turnberry katika ufunguzi wa mgahawa wa Ayrshire na ukumbi wa gofu.
No comments:
Post a Comment