Thursday, 7 July 2016

HATIMAE UFARANSA YATINGA FAINALI EURO 2016

Mchezo wa nusu fainaili uliochezwa Leo ugerumani vs  ufaransa imekuwa ni huzuni kwa ujerumani na mashabiki wake baada ya kichapo cha goli 2 kwa bila.

           Magoli ya ufaransa yakiwa yamefungwa na GRIEZMANN mmoja likiwa ni penati na jingine katika hekaheka za kushambulia Lango la ujerumani aliukanyaga na kuifanya ufaransa kuongoza kwa bao mbili bila
Wakishangilia ushindi baada ya mechi

Pogba

Mashabiki kwa furaha wakishangilia kuingia katika hata ya fainali


Wakifarijiana baada ya kumaliza mchezo wao vibaya


No comments: