Wingi wa wawapiga kura nchini marekani wanadhani mgombea uraisi kupitia chama cha Republican hana uelewa "knowledge" na mwonekano wakitabia,(personality) ya uongozi "temperament" hivyo hawezi kuongoza taifa hilo huku
Wakirusha karata zao kwa mwana mama Hillary Clinton, Bernie sanders na ted Cruz kwamba wanavigezo alivyokosa Donald Trump
Kura zao kwa mujibu wa FOX NEWS
zilionyesha>
Nyingine ni hizi hapa chini
Ndo kwanza kumekucha twende sawa
http://www.foxnews.com/politics/2016/04/15/fox-news-poll-clinton-has-knowledge-and-temperament-to-serve-not-trump.html#
No comments:
Post a Comment