Katika hali ya kushangaza msanii mkubwa wa bongo movie SHAMSAFOD aivamia na kuiteka kwa muda Instagram baada ya kujibizana na moja kati ya watoa comments katika video aliyo ituma Instagram akiwa yeye mwanae na house girl wake.hiyo yote ni kutokana na kwamba aliambiwa hamjali msichana wake wakazi.kwakifupi SHAMSAFOD anapendeza alafu msichana wa kazi kama hapendezi ivi@sio mm nliye sema
Tiririka na uhondo
Akiwa yeye,mwanae na house girl wake
SHAMSAFOD na house girl wake
Post yenyewe ndo hii
HAPA
Mastaa wa bongo tukumbuke tunatizamwa na kufatiliwa na wengi.
No comments:
Post a Comment