Wednesday, 18 May 2016

LIVERPOOL YANYANG'ANYWA TONGE MDOMONI BAADA YA KUTUMBULIWA GOLI 3 KWA 1 DHIDI YA SEVILLA



Coke aipatia ubingwa tena sevilla na kujihakikishia kucheza UEFA msimu ujao.Baada ya kuifunga timu ya Liverpool goli 3 kwa 1 nakuifanya Liverpool kukosa kikombe hicho cha UEFA EUROPA LEAGUE hivyo kuikosa nafasi ya kucheza UEFA msimu ujao.

Shabiki akihuzunika kwa kipigo


Sevilla wakishangilia ubingwa

Kombe walilo kabidhiwa sevilla baada ya ushindi

HONGERA SEVILLA
ASANTE LIVERPOOL KWA KUSHIRIKI.

No comments: