Thursday, 26 May 2016

PICHA:KUELEKEA FAINALI ZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE TAR.28/05/16 HUU NDIO UWANJA UTAKAO TUMIKA KATIKA MCHEZO HUO WA FAINALI




Tamati ama fainali kubwa za mpira wa miguu(kabumbu) UEFA CHAMPIONS LEAGUE hatimae zaandaliwa machinjio katika jiji la Milan.San Siro stadium wenye seat 80,018 ndipo fainali hizo zitafanyika kati ya Real Madrid na Atletico Madrid kesho kutwa tarehe 28.
Record ya wakali hawa imejirudia je real Madrid atashinda tena DHIDI ya wababe atletico Madrid.


Uwanja wa San siro kwa nje

Uwanja wa san siro kwa ndani 



Endelea kutembelea blog hii na usiache kutoa maoni yako tafadhali

No comments: