Showing posts with label michezo. Show all posts
Showing posts with label michezo. Show all posts

Wednesday, 29 June 2016

VIDEO: KILICHOJIRI JANA UWANJANI YANGA DHIDI YA TP MAZEMBE.

Hiyo ndiyo faulu iliyo weza kuiteketeza yanga sc dhidi ya mazembe ya Congo
Jana katika uwanja wa taiga.
Kwa walio kosa kuangalia gemu hiyo matokeo yalikua TP MAZEMBE 1 YANGA 0.
mpaka dakika 90.

Thursday, 26 May 2016

PICHA:KUELEKEA FAINALI ZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE TAR.28/05/16 HUU NDIO UWANJA UTAKAO TUMIKA KATIKA MCHEZO HUO WA FAINALI




Tamati ama fainali kubwa za mpira wa miguu(kabumbu) UEFA CHAMPIONS LEAGUE hatimae zaandaliwa machinjio katika jiji la Milan.San Siro stadium wenye seat 80,018 ndipo fainali hizo zitafanyika kati ya Real Madrid na Atletico Madrid kesho kutwa tarehe 28.
Record ya wakali hawa imejirudia je real Madrid atashinda tena DHIDI ya wababe atletico Madrid.


Uwanja wa San siro kwa nje

Uwanja wa san siro kwa ndani 



Endelea kutembelea blog hii na usiache kutoa maoni yako tafadhali

Tuesday, 12 April 2016

REAL MADRID YAZIDI KUSONGA MBELE BAADA YA USHINDI DHIDI YA WOLFSBURG KWA MAGOLI (3-0)

Christian Rinaldo ameifungia timu yake ya real Madrid magoli matatu dhidi ya Wolfsburg mnamo dakika ya 15,17 na 77 na kuifanya timu hiyo kusonga hatua nyingine na michuano hiyo ya UEFA champion league.


Na mchezo mwingine uliopigwa usiku huu Manchester city dhid ya Paris saint German(PSG)
Hatua iliyo washsngaza wengi MAN CITY yasonga mbele wakiwatoa PSG katika michuano hiyo kwa ushindi wa goli moja bila na kuifanya timu hiyo kua na goal aggregate 3 kwa 2.
Hongera city timu pekee toka EPL
http://www.blogspot.com/real madrid/ushindi/ronaldo/url.htm