Sio kila muda uwe serious tuu sometimes unahitaji kucheka kidogo.
Check hii kitu ucheke
Ultimate gossip and entertainment news
Mchezaji wa TP mazembe zamani mbwana ally samata ambaye hivi sasa anachezea timu ya KRC GENK ya nchini ubelgiji anaendelea kuifanyia vyema timu yake ya hii ya sasa nchini humo. Jana katika mchezo wa timu hiyo na timu ya Oostende mbwana aliifungia timu yake goli mnamo dakika ya 77 kama ilivyo namba ya jezi yake namba 77 sio ajabu tu ila ni hatari kubwa sanaKila lenye heri mbwana samata